Thursday, April 7, 2016

DAWA NA FAIDA YA MAFUTA YA MISKI

MISKI NI DAWA MUJARABU KWA WANAOWAHI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MENGINEYO

Miski ni mfalme wa aina zote za mafuta mazuri na ni matukufu zaidi.Ni mafuta ambayo hupigiwa mfano mzuri kwa kufadhilishwa kuliko mafuta mengine.
SIFA ZA MISKI;
-Miski hali yake ina joto na inauyabisi katika daraja la pili.
-Ina harufu na ladha yake ni tofauti na mafuta mazuri mengine.Ukitaka kutofautisha miski feki na halisi,ni kwamba katika tiba za kimwili miski feki haiwezi kutibu maradhi maduka mengi yanauza miski feki ambazo sio zile zilizokusudiwa kutuka katika tiba.Ikiwa unahaja ya tiba hakikisha umeata miski asilia.

TIBA ZA MISKI;
1.Huchangamsha na kusafisha mishipa ya fahamu na ubongo.
2.Huongeza hisia,ashiki na ladha za tendo la ndoa kwasababu huzidisha matamanio na joto mwilini
3.Huwasaidia wanawake wasiokuwa na ashki(hisia) na ladha wakati wa tendo la ndoa.Tunayo pia dawa ya ziada ya kuongeza nguvu,hisia na hamu yatendo la ndoa kwa wanawake dawa hii ulizia katika kituo chetu cha lmtm herbal centre.
4.Huwasaidia wanaume wanaowahi kumaliza tendo la ndoa kabla ya mke.Namna ya kutumia wasiliana na wataalam wetu  waliopo katika kituo chetu kilichopo ilaa cha lmtm herbal centre.Kwa ziada ya haya tunazo dawa zingine za kuongeza nguvu za kiume ambazo ni za kunywa na za kuchua kwa kuimarisha na kuipa nguvu mishipa ya dhakal.Dawa hii pia ni mujarab kwa kuchelewesha kuwahi kutoa manii haraka
5.Husaidia wanawake waliomaliza siku zao za hedhi kuondoa harufu mbaya.Pia hupunguza umajimaji na harufu mbaya itokayo ukeni
6.Hukazanisha utupu wa mwanamke na kufanya sehemu hiyo kuwa ndogo

KARIBUNI NDUGU WATEJA KWENYE HUDUMA ZETU MBALIMBALI TUNAZOTOA KWA JAMII INAYOTUZUNGUKA TUNAMAANISHA MKOANI TABORA NA NJE YA MKOA WA TABOA

TUNA JISHUGHULISHA NA HUDUMA NYINGI SAANA ZA TIBA ZA KISUNNA
IKIWA NI PAMOJA NA KUUZA MADAWA MBALIMBALI YA KISUMA
TUNAPATIKANA TABORA MJINI MTAA WA SALIMINI MBELE YA MAYOR HOTLE TUPIGIE KWA SIM NO 0769278494